2. Mungu yukoje?
2. Mungu yukoje?
Hakuna mwanadamu ambaye amewahi kumwona Mungu kwa kuwa yeye ni Roho. Mungu hana mwili wa nyama na damu kama viumbe wanaoishi hapa duniani. (Yohana 1:18; 4:24) Hata hivyo, tunaweza kutambua utu wa Mungu kupitia vitu alivyoumba. Kwa mfano, matunda na maua ya aina mbalimbali yanafunua upendo na hekima ya Mungu. Ukubwa wa ulimwengu unafunua nguvu za Mungu.—Soma Waroma 1:20.
No comments