Mwana wa MUNGU  unasema umeteseka umepata shida umepata matatizo misukosuko umesingiziwa ni kweli una hakiyakusema hivyolakini ebutafakarini mateso BWANA YESU alopitia kwaajili yako;1=Walitaka kumuua mara mbili bado akiwa mdogo   
                       2=aAlifunga siku arobaini bila kula mcahana na usiku
                       3=Alijalibiwa na ibilisi mara tatu
4=Alionewa,Alitukanwa,alidhalauliwa,Alitemewa mate,Alivuliwa nguo,Alidhihakiwa
5=Alichekwa,mavazi yakwe yaligawanywa,Alinenewa maneno ya uongo,Alishitakiwa kwa uongo
6=Alikamatwa kama myanganyi,Alikataliwa na rafikiazake wa kalibu mno
7=Alisalitiwa tena na rafikia wa kalibu,alifungwa pingu alihukumiwa bila kosa
8=Alivikwa taji lamiba kichwani,Alipigwa mijeledi
9=Alibebeshwa msalaba usiowake,Aliangukanjianimara tatu
10=Aliwambwa msalabani kwa kupigiliwa misumari mikononi na miguuni
Alichomwa mkuki ubavuni
11=Maji na Damu viliisha mwilini,alikufa msalabani kwa kifo cha aibu mno
12=Alizikwa kabulini;Lakini yotekw yote alipata ushindi kwani siku ya tatu baada ya mazishiyake ALIFUFUKA YU AI na Mwisho alirudi kwa BABA kutuandalia makao
    Sasa ni wapi unapo kwama kuyashinda majalibu na matatizo ulonayo mwaite bwana yesu yeye anatosha kukuponya na hali ulo nayo.

No comments