uwe hodali wala usiogope maana yeye alokuamuru yupo pamoja nawe

Yoshua 1:9 ()

Kumbuka kuwa mimi nimekuamuru uwe imara na hodari. Usiogope wala usifadhaike kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niko pamoja nawe popote uendapo.”

No comments