USIACHE SIRAHA ULIZONAZO ZITUMIE KUPAMBANA NA ADUI

MCHUKIE SHETANI NDIPO UTAMPINGA NA MAWAKALA WAKE
Mwana wa Mungu nakusalimu kwa jina la Yesukristowa nazaleth aliye hai yeye ni ALFA NA OMEGA mwanzo tena mwisho alikuwako aliyepo na anaeendelea kuwawepo yeye ni yuleyule abadiliki;Leo nataka kuzungumza nawe kuhusu kuzitumia siraha tulizomnazo mpendwa tazama Mungu amekupa siraha za kutosha kumshinda shetani ukisoma waefeso 6;10-18 hapa utaziona siraha ulizopewa na Mungu Wetu ili kuzipinga hila zakemwovu na roho wachafu katikaulimwenguwa roho
        Kama nimwombaji usiache
        Kama ni ibada usiache
        Kama ni mtoaji usiache
        Kama ni kufunga usiache
        Kama ni wa msamaha usiache
        Kama ni uwokovu usiache
        Kama ni msomaji wa biblia usiache
        Kama ni huduma uliyopewa na mungu imo ndani yako ebu ifanyie kazi usiache
simama na YESU Mpaka mwisho shetani atakukimbia na atakusogelea milele kwni vita yetu si ya damu na nyama bali ni kwa mapepo wa chafu na nguvu za giza katika ulimwengu wa Roho
         Bwana Yesu apewe sifa ;by MWINJILISTI PROCESIES P

No comments