WEWE NI WA THAMANI SANA

Mtu mmoja alikuwa na shilingi elfu moja ya sarafu akiwa njiani kuelekea sokoni shilingi tano ikadondoka akujali akaendelea na safari alipofika sokoni akaagiza unga kilo moja akpimiwa akatoa ile fedha aliyokuwa nayo akaambiwaa Haifai imepungua akauliza kwaniimepungua shilingingapi
akambiwa shilingi tano akaangalia mfukoni akaikosa ikamlazimu kurudisha unga ndipo akaikumbuka ile fedha na kuiona ya thamani sana kwake lakini haikumsaidia kwani aliidhalau na kuona haifai ndo maana akijusumbua kutafuta akaludia njia ile lakini hakuiona tena ilimuuma sana lakini akuyabadilisha matokeo angenunua nusu ama robo lakini ata akili hiyo haikumjia aliiwaza sana ile pesa;Ndugu yangu ata kama pesa imechakaa thamani yake aipungui ata itupwe jalalani  thamaniyake itabaki ileile hiviyo ndivyo ulivyo wewe kwa MUNGU alokuumba ata ukipotea yeye ukutafutailikukulejesha ubakikuwa wa thamani kwake uwe una pesa ama hauna mbele za mungu sote ni wamoja luka 15;1-32.

No comments