ACHA MAISHA YA DHAMBI
Jifunze kuhusu yaliyowapata sodoma na gomora waliyatenda mabaya yakamchukiza Mungu akaamua kuwaangamiza kwa moto walikuwa wakoa na kuolewa wakila na kunywa wakaiacha asili yao wakaanza kutamniana wao kwa wao waume kwa waume wake kwa wake ukisoma vizuri utaona ayana tofauti na tunayo yatenda leo
No comments