JINSI YA KUKUA KIROH
JINSI YA KUKUA KIROHO
Kama mtoto mchanga unahitaji kukua
Utaendelea vizuri katika maisha ya kiroho ukiyafuata mashauri yafuatayo kila siku:
Utaendelea vizuri katika maisha ya kiroho ukiyafuata mashauri yafuatayo kila siku:
- Zungumza na Mungu kwa maombi (Yohana 15:7)
- Soma Neno la Mungu (Matendo 17:11)
- Uwe mwaminifu kwa Mungu (Yohana 14:21)
- Mshuhudie Kristo kwa matendo yako na maneno yako (Mathayo 4:19 na Yohana 15:8)
- Umtumaini Mungu kwa kila jambo katika maisha yako (1 Petro 5:7)
- Umruhusu Roho Mtakatifu akutawale (Wagalatia 5:16-18 na Matendo 1:8)
No comments