KILA CHENYE UHAI BILA YESU KRISTO KISANGALIKUWEPO
Neno akawa Mwili
1 1 Yoh 1:1,2; Yn 17:5; Ufu 19:13Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. 2Mit 8;22Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. 3Kol 1:16,17; Ebr 1:2Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. 4Yn 5:26Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. 5Yn 3:19Nayo nuru yang’aa gizani, wala giza halikuiweza.YOH1,MWZ1-5
BY MWINJILISTI P;Prosper
No comments