kula ushibe
Nakusalimu katika jina la Bwana la Bwana wetu Yesu Kristo mteule wa Mungu Baba ;
ukisoma kitabu kile cha Mathayo mlango 4:4 NENO LA Mungu linasema "mtu hataishi kwa mkate tu ila kwa kila neno litokalo kwa Mungu.biblia uyafananisha ya neno la Mungu kama maziwa yasiyogoshiwa 1petro2:2;ukitaka kukua na kuimarika katika jambo lolote la kiimani lazima ujifunze ama ufundishwe ili ukomae katika hilo usiweze kuyumbishwa na kila upepo uvumao kwa kasi na kutoweka bali ukiwa umeshiba Neno utasimama na upepo ukija hautakuyumbisha.
pia tunaona maelezo zaidi katika waebrania5:12,yohana15:7 na luka9:53-57;ukijitoa kumfuata Yesu lazima uyakubali Maneno na mafundisho yake ili uongozwe na roho wake akuongoze na kukuimarisha kiimani kiroho na pia kimwili kwani mabo yote uanzia rohoni badae mwilini hivyo matokeo mazuri ya mwilini unayoyaona mwilini chanzo chake ni rohoni na hata matokeo mabaya unayoyaona mwilini chanzo chake ni rohoni.
Amua kufuata maelekezo ya Neno la Mungu katika maisha yako 2timotheo2:16-17,mathayo7:24
yoshua1:8 kila Neno la M UNGU lafaa katika maisha yetu. ubarikiwe na sana mpendwa
naitwa mwinjilisti procesius prosper
0755722778
No comments