MAOMBI YA KUPINGA UFALME WA IBILISI
Unapo amua kuingia katika maombi ya kuangusha ufalme wa giza jua kwamba unamgusa shetani mboni ya jicho lake hivyo lazima uwe umejiandaa umezivaa siraha zote Efeso6;10-18,hakikisha unazo siraha muhimu nawe utashinda usimdharau shetani ukazani hana nguvu anzo nguvu ndo maana Yesu alikuja duniani NA AKAFA MSALABANI AKAIMWAGA DAMU YAKE ili mimi na wewe tuwekwe huru na ndio maana anakwambia mwanangu zidini kuwa hodari zivae siraha zote kwa maana vita yetu sisi si juu ya damu na nyama bali ni juu ya falme na mamlaka ya wakuu wa giza hili,juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.hivyo jihadharini sana kama ujasimama kiimani na kiroho usimjaribu shetani ukazani anakuogopa yeye akuogopi bali umuogopa aliyemo ndani yako yaano YESU KRISTO uliye mbeba hivyo hakikisha maisha unayo yaishi ni ya kumpendeza Mungu nas nimatakatifu ndipo uchukue siraha na upambane hapo naamini ushindi utakuwa wako katika jina kuu lipitalo majina yote jina la YESU.
Kwa mamlaka niliyopewa katika jina la yesu kristo wa nazaleth aliyehai nasimama kinyume na madhabahu za kuzimu na bomoa na kusambaratisha ngome zote na kuta zote na mashuka yote yanayozuia kuingia na kutoka kwako ili kupokea na kutoa ama yanayokuzuia kumiliki ninang'oa miiba yote na michongoma iliyopandwa na rusifa katika njia yako kwa jina la yesu naharibu kila mapatano na maagano mbalimbali yaliyofanyika aidha kwa kujua ama kwa kutojua naamuru sasa achia nafasi hapa sio penu tens katika mwili huo,wa dada huyu mama huyu kaka huyu baba huyu mtoto huyu una mamlaka tena katika maisha yake achia ufahamu wake Mali zake watoto wake katika jina la yesu kristo nina sawazisha njia yako sasa uwe huru amen.uwe na siku njema mpendwa

No comments