MWOKOZI NI YESU KRISTO PEKEE

SOMO;KUTOMLILIA MUNGU UWEZI POKEA ITAJILAKO
BWANA YESU APEWE SITA;natumaini mmeamka salama kwa uweza wake MUNGU apewe utukufu ulotukuka  sana yeye alotuwezeshs kuwa hivi tulivyo,
 Ukweli ni kwamba yapo matatizo,mengi tunayo yanatutatiza sana lakini tunakaa kimya wakatimwingine tunaamua kutafutamsaada kwa wanadamu kama sisi kumbe tunajikuta badala yakumaliza tatizo tunaongeza mengine mpendwa mwana wa MUNGU ebu ifike wakati tujitambue
na tujifunze kumtegemea MUNGU uachilie moyo wako kwa Bwana mlilie yeye kwa hayo yanayokusibu nae anasikia atakujibu na kuyatatua matatizo yako Neno labwana linmasema hivi yeye si kiziwi ata asisikie na wala sio kipofu ata asione pia BIBLIA inasema alaaniwe amtegemeaye mwanadamu na kumfanya kuwa kinga yakehuku moyoni mwake amemuacha MUNGU,CHUKUA MUDA WAKO usome mistali ya biblia katika vitabu hivi;mwanzo15;12-13,Danieli 9;1-2,kutoka 12;40-41,yelemia 25;11-12,2wakolintho 1;20,isaya 55;6,kutoka 3;7-8,mathayo 7;7 malizia na luka 19;3 mpendwa ubarikiwe na BWANA unapoendelea kumtafuta MUNGU usichoke amen.

No comments