UJUMBE WEWE NI MTAWALA]

Mtume Paulo anasema kuishi ni kristo kufa ni faida ;maana yake nini neno hili yaani anamaanisha maisha ya hapa duniani bila uwokovu ni sawa na kuishi bila mwanga na kifo chako kitakuwa hasasra wakati wengine walohishi na Kristo Yesu wakilakiwa mawinguni wewe uliyemkataa YESU utakwenda jehanamu.ndugu yangu hacha kuishi maisha ya mazoea na yaliyojaa anasa za dunia raha ya dunia isikutawalale na ukaitumikia uo wote ni uongo wa ibilisi yulle joka jekundu la zamani tunayemsoma katika ufunuo12;3,bali wewe itawale raha ya dunia na ikutumikie wewe ndivyo maandiko yasemavyo kitabu cha mwz1;26 barikiwa na MUNGU
                             

No comments